Taro – Magimbi

Taro - MagimbiI do feel very sad these days when I visit home (Dar Es Salaam). Because I have noticed that some of our staple foods are disappearing from the market. I do not see Taro (magimbi) in vegetable and food stands anymore. May be is just the areas I am visiting or something else. Do we know how healthy taro is? Potatoes do not have as much nutrients as taro. Taro is a good source of Vitamin B6, C and E. Also is a good source of minerals like Potassium and magnesium.
According to USDA, 100 grams of boiled taro provides:

                         Value       % Daily
Vitamin A        iu 84.0     2%
Vitamin B6     0.3mg        17%
Vitamin C       5.0mg        8%
Vitamin E       2.9mg       15%
Folate              25.1mg     6%
Niacin             0.5 mg       3%

Minerals
Potassium         484mg       14%
Magnesium       39.6mg     10%
Iron                     0.7mg       4%
Calcium             18.0mg      2%
I hope this can help a few people to understand how healthy taro is.

  9 comments for “Taro – Magimbi

 1. August 7, 2011 at 3:31 PM

  Hey there, You have done a great job. I’ll certainly digg it and personally recommend to my friends. I am sure they’ll be benefited from this site.

 2. Thelma Mwadzaya
  March 20, 2010 at 2:59 PM

  Mi nayapenda sana haya waweza kuyaunga kwa nazi,vitunguu maji, pilipili (nzima za harufu tuu)na chumvi kisha utolee kwa samaki wa kukaanga au maini/nyama ukipenda.Kwa asubuhi waweza kuyachemsha tu kisha uviweke vipande kwenye kikaango na siagi kidogo ili vikauke kidogo.Voila! mlo wa asubuhi umekamilika na chai ya maziwa au sturungi(rangi)iliyo na iliki.

 3. John Liva
  February 16, 2010 at 4:44 AM

  It is a pity an English page is replied to in kiSwahili which most international readers cannot read.

 4. alice
  October 23, 2009 at 5:37 AM

  asante kwa kutukumbushia taste ya maghimbi!! tatizo dar wanaleta msimu wa ramadhan tu na wakati mwingine wanahifadhi ili wauze bei ghali!1 mara nyingi utapata Kisutu sokoni kule maana lile karibu ni soko la wahindi zaidi!!

  mie napenda uwaonyeshe namna ya kutengeneza wali/pilau la biriani liwe la nyama aina youyote ile!! mana ninakipenda mno hiki chakula!!

  thanks
  Miriam Rose Kasema:
  Hii ni vibaya kusubiri ili wauze bei ya juu. Sisi huku phoenix tunapata magimbi wakati wowote ule. Pilau nimeliweka leo, lakini sio la nyama. Nimeweka pilau tupu ili wale waaiokula nyama pia waweze kufurahia. Siku nyingine nitaweka la nyama pia.

  • Imran
   April 12, 2011 at 7:43 PM

   Dada Miriam,

   Natarajia mzima wa afya.

   Hivi unafahamu restaurant hapa phoenix AZ ambayo ina chakula inayokaribia kama ya nyumbani (Tanzania)?

   Asanta sana kwa msaada wako,

   wako,
   Imran.

   • May 9, 2011 at 9:39 AM

    Imran,
    Unaulizia restaurant ama Duka la kununua viungo? Kama ni duka, google Lee Lee Oriental Market.

 5. shanifa
  October 21, 2009 at 2:09 AM

  Dada mariam, ni kweli ukisema magimbi yamepotea masokoni. Kwanza kabisa chakula hiki mara nyingi kinapatika kwa wingi wakati wa mwezi mtukufu, kwa vile ni chakula muafaka kwa kipindi hicho. Vile vile jua nalo limezidi katika kipindi kwahiyo kuna mazao mengine huwa hayapatikani kwa wingi katika kipindi kama hiki.

  Kwavile umetupatia changamoto ya virutubisho, hivyo naimani kwawale wanaoingia katika website yako wakaona kuwa kuna umuhimu zaidi wa kula magimbi watadumisha hiki chakula kwa kukinunua masokoni ili mradi wauzaji nao waone kama kinaulizwa hata kama si mwezi mtukufu.

  Tunashukuru kwa kutuelimisha, Mungu akuwezeshe zaidi na zaidi.
  Shukran.

  Miriam Rose Kasema:
  Magimbi yanaafya kuliko viazi ulaya. Ndio maana nimeweka mapishi ya chips za magimbi. Ingawa si vizuri kula vitu vya kukaanga kila siku, mara mojamoja si vibaya. Sasa mtu anaweza kuacha kula chips za viazi akajaribu za magimbi.

 6. October 12, 2009 at 8:38 AM

  THANKS FOR A TASTE OF TANZANIA!

 7. October 12, 2009 at 4:06 AM

  Ni kweli dada Miriam, siku hizi maghimbi hayaonekani sana kwenye masoko yetu makubwa makubwa kama Kariakoo na madogo madogo kama Mtambani na M/Nyamala Mapinduzi kwa kuwa kwanza walaji wake wamepungua na hali ambayo nadhani imepelekea pia kupungua uzalishaji wake kwa wakulima ambao walikuwa wakilima kibiashara. Lakini pia, utandawazi nao umechangia kwa kiasi fulani chakula hiki kutotumika hasa maeneo ya mijini zaidi kama Dar es Salaam. Naomba kuwasilisha.

  Ahsante kwa mchanganuo wa virutubisho vinavyopatikaka katika maghimbi

Comments are closed.