Spices English to Swahili

 

Cardamom - iliki

Cardamom - iliki(in Swahili)

Black pepper – pilipili manga
Cardamom – iliki
Caraway – Kisibiti
Cilantro – dania (majani ya giligilani)
Cinnamon – Mdalasini
Cloves – karafuu
Coriander seeds – giligilani /Kitimiri
Cumin – binzari ya pilau
curry – binzari
Ginger – Tangawizi
Lemon grass –mchaichai
Nutmeg – kungumanga
Saffron – zafarani
Sweet peppers – pilipili hoho
Turmeric – binzari manjano

  7 comments for “Spices English to Swahili

 1. george
  March 12, 2014 at 2:53 AM

  nipatie jina la black cumin (nigella sativa

  • JDR
   July 11, 2014 at 1:20 AM

   BLACK CUMMIN INAITWA KAMNI ASWEDI Ni Arabic word lakini watu wengi wanaifahamu kwa jina hilo na wahindi wanaiita Kari Jiri.

 2. Abdalla Said Shah
  January 19, 2014 at 5:49 AM

  Hi

  Napendekeza ubadilishe jina la kiswahili la Cumin. Jina sahihi la kiswahili ni uzile au bizari nzima siyo bizari ya pilau.

  • February 3, 2014 at 1:17 AM

   Jina la ukweli ni “Jira”. Nimeweka binzari ya pilau maana uswahilini wengi wanatumia hilo jina. Lakini kiukweli ni jira.

 3. Asha makame
  September 14, 2012 at 6:34 AM

  Dada mi nlikua naomba unitajie jina la kiswahili za herbs zifuatazo.

  1. Oregano

  2.Echicanea

  3.Pau D’Arco

  4.Tea Tree Oil

  5.Goldenseal

  6. stevia

  5.Cat’s Claw

  3.

  • January 22, 2013 at 6:17 AM

   translate >sage
   >0regano
   >

   • February 6, 2013 at 3:30 PM

    Einstein,
    Those two spices are not in our old recipes. THey have been introduced in Tanzania but I am not sure if the Tanzania linguist have given a name for that yet as I can not find anywhere. And many Tanzanian I know in Tanzania use the same English words, even in store.
    I am sorry for that.

Comments are closed.