5 comments for “Pilau Masala Coming soon

 1. Deo Isaack Kapufi
  October 8, 2013 at 11:28 PM

  Mie nafurahishwa sana na shughuli zenu za uandaaji, usambazaji na ulaji wa bidhaa zenu, kuzeni soko ,nasi tutaendelea kutangaza bidhaa hii adimu ulimwenguni ili tupate walaji watakaofurahia “Radha ya Bongo ” nafurahishwa na ”Taste of Tanzania ” . Mnaweza kutanua mradi na kuweka kiwanda kikubwa kitakachotoa bidhaa hizo na mkatoa ajira kwa watanzania walio wengi muda ndo huu hakuna kulemba.

  • October 14, 2013 at 2:21 PM

   Asante. Najitahidi polepole

 2. Bernie friedl
  September 3, 2013 at 4:50 PM

  I am interested in both your new cookbook as well as the spice. How can I procure each? Thank you

 3. Deo Isaack Kapufi
  August 30, 2013 at 7:38 AM

  Hongereni sana kwa bidhaa mpya kiungo, Pilau Masala, nimekwishaiona na nafurahi ubora wake. Ongezeni bidii katika kutanua mradi wenu au viwanda vyenu ili mfanye biasha kimataifa zaidi. Hata Amerika na Ulaya tunapenda pia kutumia mtatuletea lini?. Aksante wenu mlaji.

  • September 2, 2013 at 8:04 AM

   Asante Deo,
   Najitahidi sana. Mungu akibariki nia yangu ni kuifanya iwe kampuni ya kimataifa. Pole pole ndio mwendo.

Comments are closed.