New year cards – Kadi za mwaka mpya

This year I will send New year’s Cards to people who sent me their addresses in 2008. If you have moved since, please send me your new address.

If I do not have your address and you would like to receive a card from Taste of Tanzania please send me at Miriam@tasteoftanzania.com.

This year I will pick a name and the lucky winner will receive a gift from Taste of Tanzania. This is to thank our Lord for the strength he has given me so far after very rough two years.

Mwaka huu nitatuma kadi za Mwaka mpya. Nimeshajitayarisha mapema. Kwa wale ambao walishanipa address zao, watapata kadi mapema mwezi December. Kama  ulinipa address yako mwaka 2008 lakini umehama, unaweza kuni tumia tena.

Kama hukunitumia address na ungependa kupata card kutoka Taste of Tanzania, nitumie address yako. Nitatuma kadi mapema sana ili mpate address yangu watakao taka waweze kunitumia pia.

Mwaka huu pia  nitafanya bahati nasibu, na mshindi atapata zawadi nzuri kutoka Taste of Tanzania. Hii zawadi ni kwa kumshukuru Muumba kwa nguvu alizonipa baada ya miaka miwili migumu sana.

  9 comments for “New year cards – Kadi za mwaka mpya

 1. December 28, 2012 at 10:26 PM

  Kadi ya mwaka mpya

 2. jajaja
  December 31, 2010 at 10:16 AM

  cngrts

 3. venant
  December 31, 2009 at 6:37 AM

  Hellow all people im send this massager for new year 2010.

 4. Jacq Gerald
  December 4, 2009 at 1:56 AM

  Hellow Miriam Rose!!!! gud job,plz can u send me a Christmas Cards plz!!!!! that would be my pleasure

 5. Jacq Gerald
  December 4, 2009 at 1:50 AM

  Hellow Miriam Rose!!!! gud job,plz can u send me a Christmas Cards plz!!!!! that would be my pleasure.

 6. November 12, 2009 at 7:05 AM

  your a unique person

 7. September 24, 2009 at 8:43 PM

  Niki Dear,
  Send me your mailing address at miriam@tasteoftanzania.com. I do sent the cards the old fashion way. I do not send electronic cards anymore.

 8. NIKI
  September 24, 2009 at 7:25 PM

  hey chick,great job on da site..i wld luv 2 have a Christmas card..my email

  I deleted your email so that people will not see.
  Miriam Rose

Comments are closed.