Interview

Printed on The Citizen News paper (one of the leading newspapers in Tanzania) November 6th 2009. Once I receive my hard copy I will check to see if I can scan it and post as a pdf here on the site. For now, Mr. Freddy Macha one of the well respected writer and musician from Tanzania has the full interview at Then and Now or copy and paste http://freddymacha.blogspot.com/2009/11/miriam-rose-promoting-tanzanian-cooking.html.

Mr Freddy Macha is a musician with a famous hit Kilimanjaro. Please visit http://www.freddymacha.com/ his personal website to learn more about his music and books.

– – –

Nilikuwa likizo wakati Gazeti la mwananchi la Tanzania lilipo toa mahojiano yangu kwenye gazeti lao la tarehe 8 November 2009. Interview hii ilifanywa na Ndugu Freddy Macha yeye ni mmoja wa waandishi maarufu wa Tanzania ambae pia alitoa hii nakala kwa Kiswahili hapa mwananchi na kwa kiingereza hapa Then and Now. Nitaona kama nikipata gazeti naweza kuweka pdf hapa kwenye tovuti yangu.

Ngugu Freddy  Macha pia ni mwana muziki aliyetoa mwimbo unaojulikana sana kwa jina la Kilimanjaro. Tembelea tovuti yake hapa  http://www.freddymacha.com/ kusoma zaidi kuhusu Ndugu Freddy Macha na kusikiliza nyimbo zake na pia vitabu vyake.

  8 comments for “Interview

 1. Chiku
  May 16, 2010 at 6:59 AM

  SaHaRa, nakubaliana na wewe asilimia 100..unajua hii website ingekuwa ya kiswahili peke yake wala ambao hawajua kiswahili kwa kweli wasingeiingia na kusoma haya mapishi. All the best da Mariam

 2. Chiku
  May 16, 2010 at 6:47 AM

  Marium hongera sana kwa website yako. @Getrude Deogratius, binafsi nadhani ni vema tu kutumia English na Kiswahili kwa sababu dunia ya leo lugha zote mbili ni mhimu kuzijua hata tukisema sio lazima tunajidanganya tu mwisho wa siku bila English haufiki kokote (too sad but true). Na isitoshe mimi nina marafiki ambao hawaongei kiswahili na wanapenda sana kujifunza mapishi ya TZ, basi nimewapa hii website na wamefurahi sana..ni namna moja ya kuwaelimisha watu ambao sio wa Tz wajue mapishi yetu..so da Marium big up that is the way to go..weka lugha zote mbili ni sawa tu wala usijali hizo critic kwamba uweke kwa kiswahili tu…na ukumbuke kwamba kwa kuandika lugha mbili watu wengi zaidi wanaweza soma hii web….ukitoa kitabu let us know ili tununue na kukuunga mkono..

 3. getrude deogratius
  April 28, 2010 at 4:14 AM

  tumia lugha ya kiswahili kwa sababu watanzania wengi lugha kiigereza hawajui lakini wanapenda kujua

 4. February 6, 2010 at 4:05 AM

  Miriam, hongera sana.
  Mi nadhani kutumia lugha ya kiingereza ni safi sana. Kwa ku-promote ni kwamba Miriam anataka hatra wale wasio waTanzania, au waelewa lugha ya Kiswahili, waweze ku-access mapishi yake. And what other language to be used kama sio kiingereza.
  by the way, nimevutiwa sana na the shrimp salad. Bahati mbaya nina allergy na kitu chochote kitokacho majini, kwahiyo nitajaribu kuitengeneza kwa kutumia kuku au boerowors sausages.

 5. January 7, 2010 at 7:11 AM

  Mihinzo,

  ni kweli kabisa wengi wanaingia kwenye hii blog ila wanakuta vyakula vingine ikiwa na vya kwetu vipo.

  Shida ni kwamba anatumia sana kingereza, sawa ni vizuri pengine angefanya 2 option, wale wanaotumia kiswahili angeweka vyakula vyetu
  kwa kiswahili, wa kingereza vile vile pia.

  thanx,

 6. December 24, 2009 at 1:04 AM

  Mihinzo,
  Thanks very much for your kind worlds. There is always something good about every country, and food is always one of it

  Tanzania tu na mapishi mengi sana sana. Jibu kamili nitakupa hivi karibuni.

 7. December 9, 2009 at 1:47 PM

  Good luck Freddy Macha!

 8. mihinzo tumbo
  November 22, 2009 at 11:35 AM

  thanks a lot for what you did and you are still doing, i am so appreciate for that. Tanzania is also proud of you.We are shining all over the world.
  Let me comment on issue of food.kama nilikuelewa aim yako is to promote vyakula vya kitanzania, i think later it will be also nice kama utapromote vyakula vya asili halisi ya mtanzania.nina sababu ya kusema hivi. Tanzania tuna makabila mengi sana na katika kila kabila lina aina ya chakula ambacho kina asili yao na aina ya upikaji pia. kwa mfano bukoba kuna aina ya chakula cha ndizi kiitwacho matoke, mwanza wasukuma wana viazi vitamu wanatengeneza michembe, wagogo wana mboga ziitwazo mlenda na safwe,ugali wa mhogo. Watu wa mara wana ugali uitwao bukurya na yapo makabila mengi tu na yana vyakula vitamu sana.Sister you are very genius and very creative najua hii ni fursa yatu watanzania kwa kupitia wewe tunaweza kutangaza vyakula vyetu na vikatambulika na siyo kutambulika tu bali kukubalika na kupendwa pia.
  let me say again thanks a lot and long live Africa long live Tanzania.
  bye.

Comments are closed.