Utensils

Vijiko na vikombe maalumu vya kupimia mapishi

Ndugu zangu, Naombeni msitumie mugs ama vikombe vya kunywea chai ama vijiko vya kulia chakula kupimia mapishi toka hii tovuti (Taste of Tanzania). Nimepata maswali machache kwa muda mrefu sasa kuhusu aina ya vijiko na vikombe vya kupimia viungo vya mapishi. Nimeamua kuandika kwa kiswahili kwa sababu wote walioniandikia wengi hawaishi nchi za Ulaya. Hii…

Coconut grater – Mbuzi ya nazi

I am sure you are wondering why I am talking about “nazi” in this website. Apparently nazi is a Swahili word for coconut. Mbuzi ya nazi is a Swahili word for coconut grater. The above photo is a coconut grater that I use in my house, I came with from Tanzania. In Tanzania grating coconut…