Archive for January, 2010

Pilau La Noeli

Friday, January 22nd, 2010
Pilau La Noeli

Wakati wa Noeli umeisha, lakini kwa sababu wachache wamependelea nitafsiri mapishi yawe kwa Kiswahili. Nimeona ni vizuri nianze na pishi hili maan ni tamu sana. Na pia unaweza kuliandaa wakati wowote wa sherehe yoyote ile. Sasa, kurahisisha mambo, weka makini haya katika viungo »

Tags: , ,
Posted in Rice, WaTanzania | 3 Comments »

Search Recipes

Subscribe

Archives

Categories